Check my location · Angalia eneo
Je, Fiber ipo kwako?
Jaza anwani yako au tumia GPS. Jibu linakuja papo hapo.
Baada ya kuangalia
- Ipo? Jisajili — inachukua dakika 3.
- Inakuja? Bonyeza "Nijulishe" tukuambie ikifika.
- Huna uhakika? Niandikie WhatsApp na location yako.